BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???

Wengi watakumbuka kua Ommy Dimpoz na Diamond walikua washkaji ile mbaya ila wakaja kutofautiana na kwa inavyosemekana kwa sasa hawaongeleshani wala hawawasiliani kabisa. Kwa muda kidogo Ommy Dimpoz alikua kimya ila wiki chache zilizopita aliamua kumtambulisha msanii wake mpya kutoka katika lebo yake ya PKP.

Pamoja na kumtambulisha Nedy siku si nyingi tutegemee bonge moja la kolabo kati ya Ommy Dimpoz na Ali Kiba. Ndio! Ni huyu huyu Kiba mshindani mkubwa wa Diamond Platnumz. Tumepata Exclusive video ya Ommy Dimpoz na Ali kiba wakiwa studio wakirecord wimbo wao huo. Skiliza kionjo  kidogo cha wimbo huo hapa  chini kwenye video.