Baada ya kusambaa kwa video ya Harmonize akimsema vibaya Wema Sepetu, watu wengi walilaani kitendo hicho huku kuna baadhi yao wakimpongeza Harmonize. Habari kutoka kwa marafiki wa karibu wa Wema Sepetu zinasema kua aliumia sana alipoiona video hiyo kwa mara ya kwanza.

Wengi walitaka kujua Idriss alipokeaje swala hilo, basi hii ni Exclusive kutoka kwa Wema akielezea kitu alichofanyiwa na Idriss na kumtia moyo katika kipindi hicho kigumu. Wema alimshukuru sana Idriss kwa wema wake, unaweza tazama video ya alichokisema Wema Hapa....
 
Top