http://omg.co.ke/wp-content/uploads/2016/01/Wema-sepetu-and-Diamond-platnumz-ghafla254.jpgNi muda sasa tangu mastaa wawili wakubwa hapa bongo, Wema na Diamond Platnumz watemane. Na kila mmoja kwa sasa kaendelea na maisha yake, kwa Diamond Platnumz akiwa na mtoto mmoja huku kwa upande wa Wema akiwa na Boyfriend wake mpya Idris.

Watu wengi wamekua na wamekua wakijiuliza je wanachukiana??? Sasa Wema Sepetu ameamua kuvunja ukimwa na kujibu kama anamchukia Diamond Platnumz au la! Mskie hapa Wema Sepetu akijibu swali hilo
 
Top