Home
»
» Unlabelled
» Baa zaidi ya Nne Zashiriki Promosheni ya Tusker Fanya Kweli Kiwanjani Week Hii
|
Mpenzi
wa bia ya Tusker Cloud Opson (29) (katikati) akionyesha zawadi yake ya
fulana kwenye hafla ya kuzipongeza baa nne (4) zilizo kwenye mkondo
mmoja ambazo kwa ujumla zilitangazwa kama baa za wiki kwenye promosheni
hiyo iliyofanyika Banana Ukonga jijini Dar es salaam wikiendi iliyopita.
Baa hizo ni pamoja na:-Airtel, Serengeti, Blue Sky na Smart. Akikabidhi zawadi hiyo (kulia) ni Msimamizi wa mauzo ya Kampuni ya bia ya Serengeti kanda ya Ukonga na Chanika Tesha Stanslaus |
|
Mkazi
wa Majohe (Kwa ndevu) na mpenzi wa bia ya Tusker Catherine John
akiizungumzia bia hiyo na kutaja sababu za kwanini anaifurahia wakati wa
promosheni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani ambayo wiki hii ilifanyika
katika baa zilizo kwenye mkondo mmoja ambazo kwa ujumla zilitangazwa
kama baa za wiki kwenye promosheni hiyo iliyofanyika Banana Ukonga
jijini Dar es salaam wikiendi iliyopita. Baa hizo ni pamoja na:-Airtel,
Serengeti, Blue Sky na Smart. (Kulia) ni mkazi wa Banana Eva Fred,
(Kushoto) ni Balozi wa bia ya Tusker Veronica Mbilinyi, Mshereheshaji wa
Kampeni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani Gadner G. Habash na balozi wa
bia hiyo Mariam Ally. |
|
Mkazi
wa Airport (Paschal Luambano) akipokea zawadi yake ya fulana toka kwa
msimamizi wa mauzo ya Kampuni ya bia ya Serengeti kanda ya Ukonga na
Chanika Tesha Stanslaus wakati wa promosheni ya Tusker Fanyakweli
Kiwanjani ambayo wiki hii ilifanyika katika baa zilizo kwenye mkondo
mmoja ambazo kwa ujumla zilitangazwa kama baa za wiki kwenye promosheni
hiyo iliyofanyika Banana Ukonga jijini Dar es salaam wikiendi iliyopita.
Baa hizo ni pamoja na:-Airtel, Serengeti, Blue Sky na Smart. |
|
Mpenzi
wa bia ya Tusker na mkazi wa Ukonga jijini Dar es salaam Felix Gilbert
48 (Katikati) akipokea zawadi yake ya fulana toka kwa Mwakilishi wa
Kampuni ya bia ya Serengeti Josephat Lukindo (Kulia) na balozi wa bia ya
Tusker Dida Ramadhani (Kushoto) ndani ya baa ya Blue Sky ambapo
promosheni ya promosheni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani ilifunga kambi
wiki hii katika kuzipongeza baa zilizo kwenye mkondo mmoja ambazo kwa
ujumla zilitangazwa kama baa za wiki kwenye promosheni hiyo iliyofanyika
Banana Ukonga jijini Dar es salaam. Baa hizo ni pamoja na:-Airtel, Serengeti, Blue Sky na Smart. |
|
Mkurugenzi wa Exuper Environmental consultants Kinabo Expery (katikati) ambaye pia ni mkazi wa Banana Ukonga akipokea
zawadi yake ya fulana toka kwa Mwakilishi wa Kampuni ya bia ya
Serengeti Josephat Lukindo (kulia) na balozi wa bia ya Tusker Veronica
Mbilinyi (Kushoto). Zawadi hiyo ilitolewa wakati wa hafla ya kuzipongeza
baazilizo
kwenye mkondo mmoja za Banana Ukonga jijini Dar es salaam ambazo kwa
ujumla zilitangazwa kama baa za wiki kwenye promosheni ya Tusker
Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker toka Kampuni ya bia
ya Serengeti. Baa zilizoshinda ni pamoja na:-Airtel, Serengeti, Blue Sky na Smart. |