
Kundi la wasanii wanaofanya vizuri kwenye Tasnia ya Muziki aina ya Afro Pop Band nchini kenya maarufu kwa Jina la Sauti Sol wameachia video mpya inayoitwa ‘Shake Yo Bam Bam’ ngoma ambayo imetoka kwenye up comming Album ya ‘Live and Die’. Video ya ‘Shake Yo Bam Bam’ imeshutiwa Nairobi chini ya Director mkongwe kutoka Nigeria maarufu kwa jina la Clarence Peters.
Hivyo kama wewe ni shabiki wa Sauti Sol tumia fursa hii kuitzama video hapa ukimaliza tunakuomba usibanduke kwenye tovuti yetu kwani bado tunaednelea kukujuza zaidi.