BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???


 Mteja wa bia ya Tusker na mkazi wa Sinza Bw. James Lui (katikati) akipokea zawadi yake ya Mfuko wenye fulana pamoja na bia za bure toka kwa Balozi wa kinywaji hicho Veronica Mbilinyi (Kulia) katika hafla ya kuipongeza baa ya Mawela iliyopo Sinza jijini Dar es salaam mara baada ya baa hiyo kuibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker. Kampeni hiyo inatarajiwa pia kuwafikia wakazi mbalimbali wa mikoa mingine nchini kama;- Arusha, Mbeya, Mwanza na Morogoro.
 Meneja wa bia ya Tusker SBL, Nandi Mwiyombella akikabidhi zawadi ya mfuko wenye fulana na kalamu kwa mkazi wa Sinza Bi. Zalia Ally katika hafla ya kuipongeza baa ya Mawela iliyopo Sinza jijini Dar es salaam ambayo iliibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker. Kampeni hiyo yenye nia ya kuhamasiha baa za mitaa inayotuzunguka kufanya kweli kwenye upande wa huduma inatarajiwa pia kuwafikia wakazi mbalimbali wa mikoa mingine nchini kama;- Arusha, Mbeya, Mwanza na Morogoro.
  Meneja bia ya Tusker SBL, Nandi Mwiyombella (Kushoto) akikabidhi zawadi ya mfuko wenye fulana na kalamu kwa mkazi wa Segerea mwisho Bw. Rodride Nyange katika hafla ya kuipongeza baa ya Havannah iliyopo Segerea mwisho jijini Dar es salaam ambayo iliibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker. Kampeni hiyo yenye nia ya kuhamasiha baa za mitaa inayotuzunguka kufanya kweli kwenye upande wa huduma inatarajiwa pia kuwafikia wakazi mbalimbali wa mikoa mingine nchini kama;- Arusha, Mbeya, Mwanza na Morogoro. 
 Mkazi wa Segerea aliyetambulika kwa jina la Gaudence Mgeja pamoja na Dj wa promosheni ya Fanyakweli Kiwanjani Dj Con wakishindana kucheza mziki kwenye hafla ya kuipongeza baa ya Havannah iliyopo Segerea mwisho jijini Dar. Baa hiyo iliibuka mshindi wa wiki wa promosheni hiyo yenye lengo la kuhamasisha kwa vitendo baa za mitaa inayotuzunguka kufanya kweli inapokuja kwenye suala la huduma kwa wateja wao.
  Mshereheshaji wa promosheni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani Godwin Mawanja akiamsha ari ya kiwanja cha Havannah kilichopo Segerea mwisho jijini Dar wakati wa shindano la Tusker Fanyakweli Kiwanjani linaloendeshwa na bia ya Tusker lilipotinga kwenye baa hiyo katika uhamasihaji wa kufanya kweli kwenye upande wa huduma sambamba na hilo promosheni hiyo ilikua na zawadi lukuki za fulana, bia za bure na kalamu kwa wapenzi wa bia hiyo waliofika kiwanjani hapo. 
Ma Dj wa promosheni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani kutoka redio E-fm (kulia) ni Dj Con, (Katikati) ni Dj Skit na (kushoto) ni Dj Spar wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wa hafla ya kuipongeza baa ya Mawela iliyoibuka mshindi wa wiki wa kampeni inayoendelea ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na Kampunia ya bia ya Serengeti kupitia bia yake ya Tusker.