Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Laurence Masha, akishuka kwenye
gari la polisi kwenye viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini
Dar es Salaam, wakati alipofikishwa mahakamani hapo kwa tuhuma za
kufanya vurugu kwenye kituo cha polisi Oysterbay juzi. (Picha na Said
Powa) 