Je unafikiri magari ya bongo yana akili?? Tanzania motor show ni kipindi
kitakacho kufahamisha wewe mtanzania unaejua na usie jua vitu kuhusu
magari na sifa zake mbalimbali na uwezo wake katika barabara zetu.
Lakini sio hicho tuu utaweza kumuona staa umpendae akiwa ana piga round
kwenye gari flani amazing sanaa na kuona uwezo wake ukoje katika masuala
ya uskani. Ni bonge la show flan amazing.