BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???


Nuh Mziwanda amefunguka baada ya msichana Rose John kudai kuwa ana ujauzito wa miezi miwili wa msanii huyo.
Msichana huyo alizungumza jana kupitia Uheard na Soud Brown ambapo alisema kuwa amekuwa na uhusiano na Nuh kwa miaka miwili lakini walitengana baada ya kusikia ana uhusiano na msanii Shilole na kwamba amechora tatuu ya jina lake.
Niliachana naye baada ya kusikia na uhusiano na Shilole na pia amechora tatuu ya jina lake lakini tulianza tena uhusiano miezi miwili iliyopita niliamua kupima ndiyo nikagundua nina mimba ya miezi miwili,’’alisema Rose.
Rose aliongeza kuwa hana mpango wa kutoa mimba hiyo kwa sababu anapenda msanii huyo ndiyo maana ameamua kumzalia.
Kwa mujibu wa msichana huyo alisema kuwa Shilole na marafiki zake walimfanyia vurugu na kumdhalilisha kwa kumpiga kumchania nguo hadi kupoteza simu na vitu vyake vingine.

Hata hivyo kupitia akaunti yake ya Instagram Nuh Mziwanda alifunguka na kumjibu msichana huyo… Ndiyo mimba ni Jambo la Kheri’ila ni special na Maalumu kwa nimpendae’na sio Huyo dada anaetangaza Ana mimba yangu’na anazidi kutangaza kwenye vituo vya habari tofauti’mbona hakutangaza kama Mimi bwana wake aje kusema Ana mimba yangu’Naomba mwambie ajipange tena upyaaaa aje na nyingi be’…