BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???


Hii ni moja ya picha iliyosabisha mafuriko ya COMMENTS na LIKES mtandaoni. Hao ni mastaa wa bongo, Kitale ‘mkudesimba’ na Vj Penny.

Kitale alibandika picha hii kwenye ukurasa wake na kuiandikia “Kuna siku mashetani yng yakinikalia vibaya nitawambia kitu” kisha kum- tag penny na kumalizia naneno haya….UfundiPelekaVeta ….MapenziAuPesa.

Mashbiki wengi walishusha komenti za kumtaka Kitale awambie hicho kitu, huku wengine wasimshauri achukue mrembo penny kwani watatengeneza bonge la COUPLE.

Kiufupi kila mtu aliandika lake lakini hadi sasa Kitale hakujibu komenti hata za mashabiki hao, tuendelee kuisubili hiyo siku mashetani yake yakimpanda.