“My hubby tangu azaliwe hajawh kufanyiwa happy birthday jamani ila Mungu ni mwema kwa mara ya kwanza kwangu tutakata cake huku ulaya belgium hahahaaaa baby unabahati…. natamani mngekuwepo muone minavyodekewa hapa khaa ka babyboy leo kataoga mvua za maji na barid la huku so wapenzi wangu nawaombeni leo mumwishi shemeji yenu siku yake ya kuzaliwa! Sijui nimpe zawadi gani hebu nambien maana nampenda kiroho mbayaaaa”-Shilole


Asanteni kwa wote mnaoniwish katika siku hii kubwa katika maisha yangu'sikutegemea kama itakua ivi kwa upande wenu'big up kwa Mwenyezi Mungu'Mama nuhu'wasanii wenzangu'wadau'dada zangu'mpenzi wangu @shilolekiuno wasanii zangu'mapresenter'madj na Mashabiki wangu mnaonifanya niwepo'Mungu awalinde zaidi'kumbe happy basidei raha jamani mweeeee'ushamba huu yani zilikua zinanipita tu akya Mungu' -Mziwanda

 
Top