BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???


Picha za Msanii wa vichekesho anaeibukia, Stan Bakora akiwa anabanjuka na mwanamke ndani ya gari zimesambaa kwa kasi mtandaoni  na kupelekea msanii mwenzake, Kitale “Mkude Simba”  ambaye ndiye aliemtoa kisanii kuingilia kati na kumshukia Mateja Musa ambaye anadaiwa kuziweka picha hizo mtandaoni.
@matejamusa wewe ni Ndugu yangu lakini leo umenikosea kwa ulichokiandika kwenye acount yko ya insta kuhusu @stanbakora umenikosea plz! naomba ufute zile picha haraka nakupigia cm yng upokei sio poa haya maisha laiti ungekuwa unaona cm anazopigiwa dogo na watu tofautitofauti ungemuonea hata huruma huyu bado dogo ajakomaa na hivyo vitu mnamchanganya mpaka tunashindwa kufanya kazi zingine tokea asubuhi dogo anaumwa presha kwa mipicha yako hiyo unayoipost na aliyekupa hizo picha namjua mwambie ajifiche atakavyojificha leo au kesho namtia mikononi waulize wenzio wanakijua hiki kichwa dakika moja mbele....mpaka saa 4 ujafuta hizo picha @matejamusa basi we jiandae na ugeni kutoka mwananyamalaKitale ameandika hayo mtandaoni.
Kwa upande wake Stan Bakora ameandika haya kwa mwandishi huyo
"Katika maisha sina kumbukumbu kama nilishawahi kukukosea @matejamusa ila ninachokumbuka mimi huwa nakuheshimu kama kaka yangu, sasa sijui kwann umeamua kunichafua hvo ,kwan lipi baya nlilokufanyia mpk unanizalilisha kwa jamiii au lengo lako nini kwan mbona unafanya kma sina wazazi jaman ,na aliekutumia hizo pcha lengo lake mimi nalijua na hata hvyo @matejamusa wewe una no zangu za simu ulipaswa kuniuliza kabla ya kufanya chochote ,jua umenikosea sana na kma .Daaaah umenifanya nmekushusha thaman sana Mussa. Ndugu zangu ambao mnafatilia page yangu anaenichafuaga siku zote ni huyu @matejamusa @matejamusa @matejamusa@matejamusa @matejamusa labla mwambieni nyinyi mimi nisije kupishana nae kauli sipendi ugomvi na mtu. Samahan kwa yoyote ambae nmemkwaza kwa lolote".