Baada ya kuifunga akaunti yake kwenye mtandao picha wa Instagram iliyokuwa na followers zaidi ya laki nne, na kuamua kufungua tena akaunti kwenye mtandao huo, staa mrembo wa Bongo Movies, Elizaberth Michael ‘Lulu’ ametupia picha hizi mpya kwenye ukarara wake huo mpya unaopatikana kwa anuani ya @ elizabethmichaelofficia kitendo ambacho kimewavutia mashabiki wengi waliommiss mrembo huyo ambaye ni mpenzi wa fasheni.
Mashabiki wengi wamemsifia kwa kutokeleza bomba na kuonyesha furaha zao kwa juio wake tena mtandandaoni humo kwani wanampenda na kumkubali sana.
Karibu tena Lulu.
Mzee wa Ubuyu