BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???


Mume wa Staa wa filamu za Kibongo,Irine Uwoya, Hamad Ndikumana ‘Katauti’amesema kuwa hajaachana na msanii huyo kama ambavyo baadhi ya watu wanavyodhani.
Ndukumana ambaye ni mwanasoka kwenye klabu moja ya soka nchini Rwanda ameyazungumza hayo hivi karibuni wakati alipofanya mahojiano na mtangazaji wa Clouds TV,Zamaradi Mketema alisema kuwa ingawa hawaishi pamoja na Irene Uwoya lakini hawajaachana.
‘Sijaachana na Irene Uwoya ingawa hatuishi pamoja yeye anaishi Dar mie naishi Rwanda na bado nacheza soka ila nategemea kusomea ukocha baada ya kustaafu soka,’alisema Ndikumana.
Irene na Ndikumana walifunga ndoa mwaka 2008 na kubahatika kupata mtoto mmoja aitwaye Krish.
Cloudsfm.com