"Sisi tunawaza maendeleo wengine ndo kama hivyo wanawaza kuiba.....👆👆👆👆Jamaa wamevamia NMB ya pale Bigbon-Sinza na kupiga risasi za kutosha, wakafanikiwa kutoka na fuko la hela, wakati wanakimbilia kwenye gari lao Toyota Harrier lililokuwa kwenye Parking, wakakamatwa palepale!... Angalia kama kuna mtu unamfahamu hapo."-Mrekebishatabia Instagram 
Top