BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???
Tuzo hizi zilifanyika usiku wa jana, na washindi kwa kila kipengele ni kama ifuatavyo;
 
Mtangazaji wa redio anayependwa- D’Jaro Arungu – TBC FM.
Kipindi cha redio kinachopendwa- Papaso – TBC FM.
Mtangazaji wa runinga anayependwaSalim Kikeke (BBC Swahili)

Kipindi cha runinga kinachopendwa- Mkasi (EATV)
Blog/Website inayopendwa- millardayo.com
Muongozaji wa video anayependwaHanscana
Muongozaji wa filamu anayependwa- Vincent ‘Ray’ Kigosi
Muigizaji wa kike wa filamu anayependwa- Wema Sepetu
Muigizaji wa kiume wa filamu anayependwa- Hemedy PHD
Mwanamuziki wa kike anayependwa- Lady Jaydee
Mwanamuziki wa kiume anayependwa- Ali Kiba
Filamu inayopendwa- Kigodoro
Video ya muziki inayopendwa- ‘Nani kama Mama’– Christian Bella Feat. Ommy Dimpoz