Akiongea kwenye kipindi cha The Sporah Show hivi karibuni, Kajala alisema anaweza kufikiria kumruhusu kuwa na simu hadi pale atakapomaliza kidato cha nne.
Kajala alisema mtoto wake pia hayupo kwenye Instagram.
“Paula hana simu kabisa, sio tu simu ya Instagram hata tu kitochi, hana simu,” alisema.
“Na hawezi kuwa na simu labda mpaka afike form four, yaani nitakayomnunulia mimi.”
Bongo 5