"Naomba kutanguliza shukrani zetu kwa chuo cha AJUCO Songea kwa kututunuku vyeti vya kutukuka kupitia (CHAWAKAMA) chama cha wanafunzi wa kiswahili vyuo vikuu vya afrika mashariki. Cheti hiki ni sehemu ya kutambua na kuthamini mchango wetu ndani na nje ya chuo chenu kwa kuamini tutaendelea kuwa mabalozi wazuri wa (CHAWAKAMA) KISWAHILI NI HAZINA YA AFRIKA KWA MAENDELEO ENDELEVU." Msanii Izzo Busnes aliandika hiyo jana kwenye ukurasa wake mtandaoni.
 
Top