BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???


Tuzo hizi za filamu, Tanzania Film Awards (TAFA) 2015 zilitolewa usiku wa jana kwenye ukumbu wa wa mikutano wa kimataifwa Mwalimu Nyerere jijini Da-es-salaam, na hawa ndio washindi katika vipengele vyote 12.

 1. Best Actress In Leading Role: Irene Paul
2. Best Comedian:  King Majuto
3 .Best Supporting Actress: Grace Mapunda
4. Best Supporting Actor (Male):  Tino Hisani Muya
5. Best Screenplay:  Irene Sanga
6. Tribute Award (Film Industry Support) : President Jakaya Kikwete
7. Tribute Personality Award: Steven Kanumba
8. Tribute Media : Zamaradi Mketema For Takeone(Clouds TV/Fm)
9. Life Time Achievement Award:  Mzee Jangala
10. Best Feature Film : Network
11. Best Director : John Kalaghe
12. Best Actor In Leading Role : Brian Ibrate