BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???


Naomba kumshukulu mungu kwa kila jambo yehova wewe ndio kimbilio langu. Pili kwa masikitiko makubwa nasema watashindana ila awata shinda .niongee kidogo kwa kifupi mara kwa mara nimekuwa nazalilishwa na najiuliza tatizo nini nagundua nyota .
Maishani kila binadamu mungu kampa fulsa yake so ukubali ukatae ndio hivo. Nilipigiwa simu na Mrs Adam kuambiana yani mke wa marehemu kama rafiki ndugu na msanii mwenzake kuwa anajenga kaburi la marehemu Kuambiana.
Nikajiuliza, kwa nini ajenge yeye sisi tupo wapi tuliokuwa nae karibu tunacheka nae tunakunywa nae nikamuomba mke wa marehemu Adam tuchangie kama wasanii wenzie  akakubali baada ya apo nilibeba jukumu hilo . Nikampigia JB, JB akasema anachangia laki tatu.
Nikampigia Mh makonda akachangia laki saba jumla tukapata milioni moja na kumkabizi mke wa kuambiana. So mpaka siku ya misa mke wa marehemu Adam alinishukuru kwa msaaada huo tatizo kwangu lipo wapi.
Akatokea Dude na kusambaza Dude na wenzako mnazijua naomba kukwambia na kuwambia  watanzania wenzangu. Kuna kundi la watu 5 tena wasaniii wanatamani Steve Mengere afe leo wanaangaika uku na kule Dude nitakufa kwa mapenzi ya mungu Mtitu nitakufa kwa mapenzi ya Mungu . Mnatoa hela kwa waandishi wanichafue kwenye mtandao hahahaha.
Kauli yangu wabaya watu wazuri watu simba awezi toka serengeti akaja mjini kukualibia. Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe .
Wasaniii hamuwezi kuwa wamoja ata siku mmoja kwa roho mbaya mlio nayo bora kumfadhili mbwa msanii tena wa move ana shukulani ata kidogo . Ipo siku umuimu wangu mtaujua tuuuu.Mungu ni mwema kwa kila jambo .
NITAANDIKA KITU BADAE
By: Steve Nyerere on Istagram
Picha:Siku ya sala maalumu ya kumuombea marehemu Kumbiana.
UPDATE!
Mtitu ameandika haya mara baada ya kuona alichokiandika Steve Nyerere
Da ! Naomba ndugu zangu
mnisamehe kwa kuandika hili humu instagram ...maana lilitakiwa liongelewe nje ya hapa ...
kiukweli steve NIMESHTUKA SANA baada ya kuona post yako tena umenihuzunisha sana kwa kunitaja kwa jina katika ugomvi wako na dude nimejaribu kukupigia cm sana aupokei cm zangu aukupokea na
Umesema.
kuwa natamani ufe...hv tujiulize kwa nini nitamani ufe ndugu yangu ?? So ukifa mimi napata faida gani ? Kwani mimi nna ugomvi gani na wewe?? kwanza tunafanya vitu tofauti na mimi producer na msambazaji wewe mchekeshaji kwa nini nigombane na wewe ?? kwani nn steve utaki kujifunza mdogo wangu maneno haya haya yamesababisha kanumba amekufa huku akiwa awaongei na ray wakati walikuwa marafiki kwa zaidi ya miaka kumi na kanumba amekufa huku ukiwa na bifu kubwa sana na wewe nae wewe hadi anakufa mlikuwa amuongei chanzo ni haya haya maneno yako ...
Kuwa na amani steve wewe ni mhehe kama mimi kwetu kumoja miongoni na mwa watu ambao sitawasahau katika maisha yangu wewe ni mmoja wa wao, umenisaidia vitu vingi sana nakushukulu mangere ..na pamoja uliapa ukiwa na matatizo nisije mimi ntakuja tu labda unifukuze wewe kama unahisi mimi mbaya wako umekosea mimi sina ubaya na wewe kabisa na sioni sehemu pa kutugombanisha maana atuna tunapokutana. 
Gday bandugu