BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???


NYOTA wa muziki Afrika Mashariki na Kati, Nasib Abdul ‘Diamond’ na Emmanuel Elibariki ‘Ney wa Mitego’, wametumia siku saba kukesha studio kurekodi wimbo wao mpya wa ‘Mapenzi au Pesa’.
Wimbo huo ulioanza kusikika hivi karibuni, Diamond na Ney wameshirikiana kwa mara ya pili baada ya wimbo wa ‘Muziki gani’.

Ney alisema ‘Mapenzi au Pesa’ ni wimbo wa kwanza kuukeshea studio na kupata usingizi kidogo kwa siku saba mfululizo.

“Kwa mara ya kwanza tangu nianze kuimba muziki, wimbo huu umenifanya nikae macho siku saba tofauti na nyimbo nyingine nilizofanya, mashabiki umewagusa hasa waliopo kwenye uhusiano wa kimapenzi,” alisema Ney wa Mitego.