BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???

 
Kama wewe ni Mmoja wa Wapenzi wa Filamu za Nchini Tanzania na unafuatilia Vizuri basi utakubaliana na Rose Ndauka Kwamba Baada ya Kufariki STEVEN KANUMBA
Rose Ndauka Ameongea na @DjHaazu na kusema Steven Kanumba aliipigania sana Tasnia ya Filamu Nchini Tanzania Haswa kwa jitihada zake kukuza Wasanii wenzake ambapo kwa Moyo wake kwa kushirikiana na Wasanii wenzake Waliifikisha Sanaa ya Filamu Tanzania Hapo ilipo ila hadi sasa Hakuna Hatu Nyingine ambayo Wasanii wa Filamu Tanzania Wamepiga Zaidi ni Kuporomoka kwa Kiwanda cha Bongo Movie TZ.
Hta hivyo Rose ambaye yuko kwenye Tasnia ya Filamu Nchini Tanzania kuanzia Mwaka 2007 Amesema Wao Kama Wasanii kwa sasa wanatakiwa kushikamana na kufanya Mabadiliko ili Kuendeleza Kile alichokuwa anakifanya ambacho ilikuwa Kuhakikisha Sanaa ya Tanzania Inajulikana Kimataifa Zaidi.
Cha mwisho amewataka Watanzania na Wadau wao Kuendelea Kuwashika Mkono kwa kuwapa Support Japo pia ainawezekana kuna Wakati wamewadissapoint.
SIKILIZA FULL INTERVIEW YA ROSE NDAUKA click link HII---> https://www.hulkshare.com/rs95o5svm48w
Inline image
Steven Charles Kanumba Tarehe 8 Januari 1984, Shinyanga na Kufariki Tarehe 7 Aprili 2012) alikuwa msanii wa maigizo na filamu kutoka nchini Tanzania. Katika historia ya tasnia ya filamu nchini Tanzania, Kanumba ndiye aliyekuwa msanii wa kwanza nchini kufanya kazi nje ya nchi na kuweza kuwavuta wageni kutoka nchi mbalimbali kuja kuigiza Tanzania. Hasa walikuwa Wanigeria kama vile Mercy Johnson, Emmanuel France, Nkiru Silvanus, Ramsey Nouah, na wengine wengi tu. Kanumba pia ameweza kuwaleta waongozaji filamu kadhaa was Kinigeria nchini