Home
»
MATUKIO
» MSHINDI WA MWISHO WA"MTOKO WA MBUGANI" WA KAMPENI YA TUTOKE NA SERENGETI AKIFURAHIA MTOKO WAKE NDANI YA HIFADHI YA SERENGETI.
 |
Mshindi wa
mwisho wa shindano la “Tutoke na Serengeti” Bw.Gabriel Robert Moriale (Kulia)
akiwa na kaka yake Bw.Joshua Robert Moriale (Kushoto) walipowasili
mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro jijini
Arusha tayari kwa kuanza safari ya kwenda Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kukamilisha
mtoko wao wa siku tatu ndani ya hifadhi hiyo. Robert aliibuka mshindi wa mwisho
wa “Mtoko wa mbugani” baada ya kushiriki kwenye kampeni ya “Tutoke na
Serengeti” iliyoendeshwa na kampuni ya bia ya Serengeti kwa ushirikiano na
BPESA kwa takriban miezi(4) ambapo washindi walijinyakulia zawadi nyingine kama
Limo Bajaj, fedha taslim, Bia za bure sambamba na punguzo la Tsh.300 kwenye bia
ya Serengeti Premium. |
 |
Mshindi wa
mwisho wa shindano la “Tutoke na Serengeti” Bw. Robert Gabriel Moriale (Kulia) aliyeongozana
na mdogo wake Bw. Joshua Robert (Kushoto) wakitalii ndani ya hifadhi ya Taifa
ya Serengeti kukamilisha zawadi yake ya mtoko wa siku tatu ndani ya hifadhi
hiyo. Bw. Robert aliibuka mshindi wa mwisho wa “Mtoko wa mbugani” baada ya
kushiriki kwenye kampeni ya “Tutoke na Serengeti” iliyokua ikiendeshwa na kampuni
ya bia ya Serengeti kwa ushirikiano na BPESA kwa takriban miezi(4) ambapo washindi
walijinyakulia zawadi nyingine kama Limo Bajaj, fedha taslim, Bia za bure sambamba
na punguzo la Tsh.300 kwenye bia ya Serengeti Premium. |

mwisho wa shindano la “Tutoke na Serengeti” Bw.Gabriel Robert Moriale
akiangalia kundi kubwa la wanyama aina ya pundamilia katika Hifadhi ya Taifa ya
Serengeti wakati wa kukamilisha mtoko wao wa siku tatu ndani ya hifadhi hiyo. Robert
aliibuka mshindi wa mwisho wa “Mtoko wa mbugani” baada ya kushiriki kwenye
kampeni ya “Tutoke na Serengeti” iliyokua ikiendeshwa na kampuni ya bia ya
Serengeti kwa ushirikiano na BPESA kwa takriban miezi(4) ambapo washindi
walijinyakulia zawadi nyingine kama Limo Bajaj, fedha taslim, Bia za bure sambamba
na punguzo la Tsh.300 kwenye bia ya Serengeti Premium. |
 |
Mshindi wa
mwisho wa shindano la “Tutoke na Serengeti” Bw. Robert Gabriel Moriale wa pili
(Kushoto) aliyeongozana na mdogo wake Bw. Joshua Robert (Wa kwanza kulia)
wakitalii ndani ya Ngorongoro na kupata maelekezo kutoka kwa mwelekezi (Tour
guide) kabla ya kuanza safari ya kwenda Serengeti national park. Bw. Robert
aliibuka mshindi wa mwisho wa “Mtoko wa mbugani” baada ya kushiriki kwenye
kampeni ya “Tutoke na Serengeti” iliyokua ikiendeshwa na kampuni ya bia ya
Serengeti kwa ushirikiano na BPESA kwa takriban miezi(4) ambapo washindi
walijinyakulia zawadi nyingine kama Limo Bajaj, fedha taslim, Bia za bure sambamba
na punguzo la Tsh.300 kwenye bia ya Serengeti Premium. |
 |
Mshindi wa
mwisho wa shindano la “Tutoke na Serengeti” Bw. Robert Gabriel Moriale (Kulia) aliyeongozana
na mdogo wake Bw. Joshua Robert (Kushoto) wakifuruahia bia ya Serengeti Premium
wakati wakitalii ndani ya hifadhi ya Taifa ya Serengeti wakati wa kukamilisha mtoko wa siku tatu
ndani ya hifadhi hiyo. Bw. Robert aliibuka mshindi wa mwisho wa “Mtoko wa mbugani”
baada ya kushiriki kwenye kampeni ya “Tutoke na Serengeti” iliyokua ikiendeshwa
na kampuni ya bia ya Serengeti kwa ushirikiano na BPESA kwa takriban miezi(4) ambapo
washindi walijinyakulia zawadi nyingine kama Limo Bajaj, fedha taslim, Bia za
bure sambamba na punguzo la Tsh.300 kwenye bia ya Serengeti Premium. |