BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???

Msanii wa filamu na vichekesho, Musa Kitale jioni ya leo akizungumza kwenye studio za  Magic FM,kipindi cha Afrika Kabisa  kwenye kipengele cha African Movies, alisema wazi kuwa hawakubali kabisa bongo movies kwani wanapenda kurudia  rudia na kukopi filamu za nje na kusisitiza hata akiziangalia filamu zao huwa haoni jipya na hazina ubunifu.
Akaendelea kufafanua kuwa yeye sio mwana Bongo Movies na wala hayupo karibu nao kwani anaogopa kuwaambukizwa ‘kaugonjwa’ kakukopi kopi kitu mbacho aliwahi kumutahadharisha hata  alikuwa lafiki yake wa karibu marehemu Sharo Milionea asiwe karibu nao.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjQYnoJwY0QCsb-6C03R-i4pf0IhyphenhyphenjlrX3NI8gwKoDhM6iHfkApWq9ZGf5Ap60VKcyvNIhSLHKeZx9zYe3rEgALLObU_az8x_MOzVr1lJpauFbphPs5yHEVp1GfUOxZK2BLxKBAW2KMk9qQ/s640/1.jpg
Kitale alikuwa pamoja na Stan Bakora wakielezea ujio wa filamu  ya  SAFARA HASARA ambayo ndio ya mwisho  ya Kitale na Sharo Milionea kurekodi  pamoja.
Akielezea filamu hiyo Kitale amesema japo kuwa filamu hiyo wamerekodi mwaka 2012 lakini hadi sasa hakuna hata filamu moja ya kibongo ambayo ina ubunifu kuifunika  filamu.
Filamu ya SAFARA HARASA itaingia sokoni mwezi huu tarehe 20 mwaka huu.