Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa mwanadada Elizabeth Michael – LULU ambaye leo anatimiza miaka 20 ya kuzaliwa amepata piga jingine baada ya kufiwa na mpezi wake aliyefahamika kwa jina la Seki (Pichani) aliyekuwa akiishi jijini Mwanza.
Badi hatujapata taarifa kamili juu ya sababu ya  kifo chake ila tutaendelea kuwajulisha pindi zitakapotufikia.
https://igcdn-photos-c-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xfa1/t51.2885-15/11142782_1428118147491034_190048061_n.jpg
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amina.
Pole sana Lulu. Mungu akutie nguvu.
 
Top