Kumekucha instagram ni vijembe kwa kwenda mbele wanawake wenye mivuto ya
kipekee zari na chagga bebe wapo ulingoni kila mmoja akijitapa kivyake
sijui ndo kumgombania Ivan,mie sijui nani mchokozi ila nijuavyo tu boss
lady huwa haongei ongei hadi achokozwe, ila hii ya Chagga Barbie
Kujinadi Mitandaoni Anatoka na Ivan Baba Watoto wa Zari Imemuingia
Kunako :
Soma Vijembe walivyokuwa wanajibishana hapa Chini:
Mukeyamganda ni Chagga barbie yule aliyewahi kuwa Girlfriend wa Prezzo na Kuachana kwa Aibu