BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???

Anyways,  leo nimepata chance  ya kusikiliza nyimbo mpya ya Ali Kiba fasta fasta….
I like Ali Kiba’s music but I think he needs to grow kimuziki. Mie naona toka arudi kwenye gemu nyimbo zake zimeshuka kiwango sio nzuri kama za zamani… Au labda tuseme yani  nyimbo zake zote ni vile vile yani hazina tofauti.Yani they sound identical.Anabadilisha vitu vidogo vidogo sana…… Nyimbo zake za zamani zilikuwaga nzuri sana , ila pia yawezekana za sasa hivi zinaoneka sio nzuri sababu zimefanana na za zamani…Yani nyimbo ya Ali Kiba hata uamshwe usingizini bila kusikia hata sauti ukisikia biti tu unajua nyimbo ya Ali Kiba….lol….

Kwenye issue ya kiwango cha nyimbo kushuka hayuko peke yake hata besti ake  Diamond pia nyimbo zake zimeanza kushuka kiwango…. Mie naona tatizo lipo hapa…. Ni kwamba wamesha maliza material zao zooooote  nzuri…. Ni sawa  na kwenye mashindano ya kukimbia unapoanza kukimbia unakimbiaje fastaaaaa kama gari vile, ila mwisho wa mashindano nguvu zinaisha unaweza hata anza tembea…Mie naona ndo kama hawa vijana, wameshaandika all the best stuff they have sasa material zimekwisha inabidi wafanye tu ili mradi watoe new single….

Yani kwa Ali Kiba kwa jinsi alivyo under pressure sababu ya hiyo ya likinganishwa na Diamond naona hii new single imemwangusha kabisa yani na sasa ni dhahiri kuwa yeye ni number 2.
Well, kunapokuwa na tatizo lazma tutafute na suluhisho… Tumeshajua tatizo sasa hivi ni unandishi wa nyimbo sio kwamba hawajui kuimba kama zamani. Talent zao zipo pale pale au hata labda zimeongezeka kutokana na experience ila problem is hawana tena material ya kuandika nyimbo. I think hata VANESSA MDEE  na  JUMA JUX   wanaface   the same problem. Yani Vanessa na Juma Jux wana swaga za hatariiiiiiiii, yani wamekaa kimamtoni ile mbayaa ila tatizo ni nyimboooooooo, nyimbo hazina viwango vileeeee…..Well wafanyaje sasa???

I think hapa mie nimeona kuna fursa kubwa sana ya uandishi wa nyimbo Yes asilimia kubwa ya artists wengi wa marekani huwa wanaandikiwa nyimbo zao. Especially baada ya kuwa kwenye gemu for a while maana na wao huwa wana run out of material au aideas ndo hapo inabidi wanunue..

Kwa mfano one of the most popular hits in the world ule wa I will always Love you wa Whitney Houston – yeye aliununua tu,ule wimbo uliandikwa na mtu mwingine. I think uliandikwa na Dolly Parton. So kama Whitney angetaka sifa za kujifanya yeye anajua kuimba na kuandika songs zake mwenywe basi sidhani kama angejulikana dunia nzima kama alivyojulikana baada ya huo wimbo alioununua kwa Dolly Parton.  Au tuseme Michael Jackson, mnaikumbuka ile nyimbo yake ya Thriller wakati tuko watoto tulikuwa tunaipenda balaaaa, na ilikuwa number 1 hit all over the world. Guess what Michael Jackson hakuandika ule wimbo aliununua kwa mtu anaitwa Rod Temberton.
Yani kuna watu wanakuwa mamilionea kwa kuandikia waimbaji nyimbo. So jamani mie naona its time sasa watokeee professional song writters Tanzania waanze kuwaandikia hawa waimbaji wetu nyimbo. Kama sio hivyo ndo hivyo wataendelea kutoa nyimbo zisizo na viwango mpaka mwisho watasahauliwa maana kuna new artisits ambao wana nyimbo zao mbili tatu kaliiiiii watatoa tutawapenda then tutawasahau hawa.

Kama wanataka kubaki on top of the game for many years inabidi waanze kununua nyimbo sasa.

Source: U-turn