Haya sasa wadada kazi kwenu! Ukiacha kipaji alichonacho cha kuimba na kusaka mshiko bila kuchoka mwanamziki Davido amefunguka kuhusu kipaji chake kingine. Davido mwenye miaka 22 amefunguka kupitia mtandao wa Twitter kua yeye ni mbaya sana awapo kwenye 6 kwa 6 (kitandani na mpenzi wake).

Davido alisema hayo alipoulizwa swali na mmoja wa shabiki wake, swali lenyewe lilikua “What else is Davido talented with apart from music?” ( Nikitu gani Davido ana kipaji ukiacha mziki?) Davido alimjibu
 
Top