Naamini kila mtu anawapenda wazazi wake, kwa sababu ndio wametuleta duniani na pengine wamechangia mafanikio yetu. Leo Bongoclan tumeamua kukusanyia picha za baadhi ya wasanii wa hapa kwetu Bongo wakiwa na wazazi wao.

Picha hizi ni za wasanii saba tofauti wengine wakiwa wa muziki na wengine wamaigizo, tulichogundua ni kua wengi wa wasanii hawa hawajapiga picha na baba zao, ni mmoja tu kati ya nane ndo kapiga picha na Baba yake. Unaweza tazama picha hizi hapa chini.

Diamond na mama yake

Hemed na mama yake

Linah akiwa na baba na mama yake

Lulu na mama yake

Wema na mama yake

Monalisa na mama yake

Shilole na mama yake

Jokate na mama yake

 
Top