BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???

http://4.bp.blogspot.com/-kpCmylptaqA/T5lHAHbd1-I/AAAAAAAAZyA/Q6nXs7dookA/s1600/DSC_0041.JPGLeo kupitia ukurasa wake wa Instagram msanii Roma Mkatoliki ameamua kuwatolea uvivu Basata na wasanii wenzake ambao walitoa lawama kwa wasanii wenzao kua hawakuhudhuria katika kikao kilichoandaliwa na Basata.

Kikubwa alicholalamika Roma ni kua habari kuhusu kuwepo kwa mkutano huo ulioandaliwa na Basata kwa wasanii hazikuwafikia wasanii wote mmoja wapo akiwa ni yeye mwenyewe. Roma ameshauri kutengenezwe mfumo maalum wa kuwajulisha wasanii wote kuhusu taarifa muhimu zihusuzo wasanii.

Unaweza soma alichokisema Roma katika post yake hiyo hapa Chini.

NILIWAHI KUULIZA SIKU MOJA
HIVI IPO #DATABASE AMBAYO INATOA #ACCESS YA KUMFIKISHIA #TAARIFA KILA #MSANII KATI YA WASANII WOTE #NCHINI KWA #WAKATI MMOJA!!!
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
#NIKAJIBIWA_HAKUNA

Sasa hili swala la Kikao cha #BASATA
Zidi ya #wasanii wote kuhusiana na mchakato wa #TUZO nimeona tokea jana tunalaumiwa sana kwa #KUTOHUDHURIA na #Tunabezwa sana kuwa ambao hatujaenda #HATUJIELEWI na walioenda ndio WASANII #WANAOJIELEWA!!!
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘ Freshi pengine ni kweli!!!! Lakini kwa kuwatetea wale wasioenda nikiwemo na mimi!! basi turejee juu hapo awali kwenye swala la kuwafikishia taarifa wasanii wote nchini!!!Unajua tuko wasanii wengi sana nchini hapa, na wote hiki kikao kiliwahusu!!!! Na hata tukisema labda waliopewa taarifa ni wasanii wanaotambulika tu na #Basata Bado Kuna #Kizungumkuti
Mbona wapo walioshindaga tuzo na hawaijui hata basata ilipo!!!!!
Au tuzo haihusiani na #Basata??? Hivi unataka uniambie kuwa ndugu yangu #RAS_LION#NDUKULUSUDIKUCHO
NA KAKAYANGU #JOHN_WOKA
wanazo #Taarifa kuwa kulikuwa na kikao cha basata kuhusu tuzo!!!
Au tukisema wasanii wanaopaswa kuwepo kikaoni kuna ambao hatuwahusishi!!!!!???Na kwanini??
Je walipewa #TAARIFA??
Au ni #Msiba ule labda tuje bila #Taarifa???? #Tusilaumiane jamani #Taarifa hazifiki mimi binafsi sikuwa nafahamu lolote linaloendelea na sikupewa taarifa yoyote!!! Na sio mimi tu ni wengi!!
Na nimeshangaa walioenda wamepataje taarifa!!! Au mimi sitambuliki?Au ndio #SijielewiπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Ninavyohisi Taarifa nyingi huwaga ni zile za Oi mwambie flani amwambie flani #MJE!!! Sasa hiyo itawafikia wangapi!? Aaaaah jamani tusiende hivyo maana wakija wachache bado mtatusema #HATUJIELEWI
NINA HAKIKA WASANII WENGI WANGEPENDA KUSHIRIKI KWENYE HUO MCHAKATO LAKIN I HAWAKUWA NA TAARIFA!!!!!