BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???


Ukitaja moja ya watu matajiri Tanzania huwezi kuacha kumtaja Said Salim Bakhresa, huyu ndo mmiliki wa Bakhresa Group of Companies, ambao wanatengeneza bidhaa kama juisi, maji, maziwa. Pia anamiliki timu ya mpira na kituo cha TV.

Mpya ya leo ni kumhusu mtoto wake wa kiume, na gari anayomiliki. Mtoto huyo anamiliki gari aina ya BraBus ambayo thamani yake ni zaidi ya $500,000 za kimarekani. Ukiibadilisha fedha hiyo kuja katika pesa ya kibongo ni zaidi ya Tsh 917,050,000.

Unaweza Soma :  Ali Kiba acopy beat ya Matonya na kuitumia kwenye wimbo wake mpya wa Chekecha cheketua, ushahidi huu hapa.

Kwa mujibu wa blog ya Bin Zuberi ambako nmetoa picha za gari hiyo ni kua gari hiyo imetengenezwa maalum kwa mtoto huyo na hata imeandikwa jina lake Yusuph Bakhresa. Na gari hiyo imesajiliwa kwa jina la BRABUS ambalo ndio model ya gari hilo.

Unaweza tazama picha zaid za gari hilo hapa chini.






Unaweza soma : Diamond amtaja ex wake aliyemfundisha kiingereza, lakini sio Wema!