Mi ni team
Ali Kiba forever ila jamaa anazingua na sijui anajisikia au vipi maana
kila siku anaambiwa hasikii kama atataka kushindana na Diamond naona
kachelewa sana.
Katoa audio
ya chekecha cheketua siku hizi video ndio inakutambulisha kimataifa
kakaa kama mjinga fulani, Diamond katoa video ya nyimbo yake nyimbo ya
kawaida sana Sema hafanyi kama Kiba kutanguliza audio.
Dogo mjanja
sana katoa video akijua itazidi kumtambulisha kimataifa. Naona Namibia,
Ghana, Nigeria, Botswana wanacomment kuhusu video. Ali Kiba unalala tu.
Tuwe wawazi
team Kiba Tunajua Diamond yupo juu Sema Diamond Hana kipaji kama Ali
Kiba ila ukiendelea hivi utakimbiwa halafu dogo ana dharau ndo maana
Hata instagram hajamfollow mtu yeyote.
Diamond big
up ishu ni kujulikana kimataifa maana Tanzania umemaliza tayari Kiba
ukitaka kuwa juu sikiliza mashabiki acha dharau na angalia soko
linaendaje acha ujinga team Kiba tupo pamoja.
Ni ushauri maana tunataka ujulikane Dunia nzima kama R Kelly anakujua why Dunia isikujue? Jitambue.
By Vidodi