BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???

Ukitaja majina ya wasanii 10 wa bongoflava waliowahi kuushikilia kisawa sawa mziki huu huwezi kuacha kumtaja msanii Matonya. Matonya aliwahi kua maarufu sana mwaka 2006 hadi 2008, kila sehemu zilikua zikipigwa nyimbo zake na alipata bahati ya kushinda tuzo mbalimbali na kufanya show nyingi tu ndani na nje ya bongo.http://www.bongoclantz.com/
Miaka ya hivi karibuni Matonya amekua kama amepoteza umaarufu kwa ni karibu kila nyimbo anayotoa inashindwa kufanya vizuri sana katika chati mbalimbali si kama miaka ya nyuma. Pia amepotea sana katika macho ya watu kwani ni ngumu sana kumkuta katika matamasha au katika sehemu za starehe.
http://www.bongoclantz.com/
Siku chache zilizopita Matonya alionekana katika kipindi cha 5gears cha clouds TV kinachorushwa kila jumatatu saa tatu na nusu usiku(marudio 7:30/8:00 mchana Jumanne/Jumamosi). Ndani ya kipindi hicho Matonya alionyesha aina ya Gari anayoendesha, nyumba anayoishi na kubwa zaidi ni kuhusu biashara yake anayofanya.

Matonya kwa sasa anaendesha gari aina ya Brevis yenye thamani ya zaidi ya millioni 15 za kibongo, huku akiwa anamiliki nyumba ya kisasa kabisa inayokadiliwa kua na thamani ya zaidi ya milioni 150 iliyo ndani ya kiwanja chenye ukubwa wa nusu eka maeneo ya Bahari Beach ( eneo wanaloinshi matajiri ) kwa haraka haraka kinaweza kua thamani ya zaidi ya millioni 500.
http://www.bongoclantz.com/
Pia alitambulisha biashare mpya anayofanya ambayo ni kuuza magari, ambapo show room ya magari hayo ipo ndani ya nyumba yake hiyo ya kifahari. Yaweza kua ukimya wa msanii huyu unaweza kusababishwa na yeye kujikita zaidi katika biashara zake ambazo zinaonekana kumuingizia mpunga mrefu zaidi.

 Habari imeandikwa na Eddie Sucre