Diamond Platinumz Akaliwa Kooni na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) 11:25 PM burudani A+ A- Print Email Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imemtaka meneja wake kutoa nyaraka zinazoonyesha Mikataba ya Diamond ndani ya siku saba (7). Inaelekea kuna jambo haliko sawa!