BREAKING NEWS;
CHADEMA YAMBWAGA ZITTO MAHAKAMANI....
Hatimaye chama kimeshinda kesi dhidi ya aliyekuwa mwanachama wake Zitto Kabwe.
Mahakama imeamua katika hukumu yake leo kuwa Chama kinaweza kuendelea na
taratibu zake. Aidha, Mahakama imeamuru Zitto alipe gharama zote za
kesi.
Wanasheria wa chama, Peter Kibatala na John Mallya wataongea na Vyombo vya Habari punde.
Hongera Mwanasheria Peter Kibatala...Hongera Chadema
Haki imeshinda dhuluma