BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???

http://nairobiwire.com/wp-content/uploads/2014/07/ali-kiba.jpgSiku chace zilizopita Ali Kiba aliachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Chekecha cheketua, kwa sasa ngoma hiyo inafanya poa sana katika vituo mbalimbali vya redio Bongo. Kiukweli wimbo huo ni mzuri sana kama kawaida yake Ali Kiba hua hakosei ila zamu hii kaniangusha ki ukweli.

Ukweli ni kua beat iliyotumika katika wimbo wake huu mpya imekopiwa kutoka katika nyimbo ya Matonya inayofahamika Unanimaliza ambayo ilitoka katikati ya mwaka jana. Nadhani watalaamu wa muziki mnaweza kugundua Producer alifanya nini maana mi naona kilichoongezeka ni guitar tuu, ila beat linafanana naweza sema producer alisample wimbo wa 'Unanimaliza'. ukisikiliza vizuri beat hiyo utagundua kua Alikiba kaongezea vitu vichache tu kama gita.

Nlichogundua ni kua wimbo wa Wimbo wa Matonya umetengenezwa Chedars Records huku wa Wimbo wa Ali umetengenezwa Combination sound na producer Manwalter.. Hapo utaweza kugundua kua maproducer wengi wa Bongo hukopiana kazi au hukopi kutoka nyimbo za nje.

Unaweza Sikiliza nyimbo zote 2 hapa chini kisha tupe maoni yako..