
Zari ameamua kutupia picha hiyo kwenye akaunti yake ya Instagram akionyesha kuwa mpenzi wake anakubalika vilivyo miongoni mwa warembo.
Wengi wa mashabiki wa Zari the Boss Lady wameonekana kuvutiwa na picha hiyo na kitendo cha mrembo huyo kuamua kuachia picha hiyo ila Kwenye Caption ya Picha hiyo Amemuonya kwa Kumwambia "Lolz he is Taken though"