BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???


Kutoka kushoto Enock, Maromboso, Beka na Aslay wakiwa wameshikilia ticket zao za ndege ambazo walikabidhiwa rasmi na mkurugenzi wa Zurii house of Beauty Jestina George Meru.

Yamoto Band wanatarijiwa kufanya Live show kwenye jiji London siku ya tarehe 21.02.2015 katika ukumbi wa Royal Regency Banguet Hall

Zuri House of Beauty CEO Jestina George Meru akiwa kwenye picha ya pamoja na timu nzima ya Yamoto Band

Kama kawaida Ukitembelea Zurii House of Beauty huondoki mkono mtupu

UK na Europe yote Siku ya Jumamosi tarehe 21 Feb 2015 tukutane pale kwenye ukumbi wa Royal Regency Manor Park London Kwani Hiyo ndio sehemu pekee kwenye jiji la London utapopata Burudani ya kukata na shoka kutoka kwa No1 band ya Tanzania Hakuna wengine ni wale wale vijana wetu wanne machachari wanaoitikisha East Africa sasa hivi YAMOTO BAND aka MKUBWA na WANAWE. Tickets are on sale now Standard ticket £25, VIP £35 kama unahitaji Meza ya watu 10 basi wasiliana nasi kwenye number hizi 07853482158 @bongodeejays or whatsapp +447557304940

Also if you are in

Northampton,you can get your tickets

Kass's Grill 01604621567/07527283219

And for people in Milton Keynes you can Get your tickets by

Calling Cobby ...07448416240 London Chris Chagula 07405889880 /Hakim 07931 526622

VjOj on 07940 679201and Exposed Uganda on 07931 119346