BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???


Hakuna anaebisha kuwa mrembo na mwigizaji wa filamu Diana Elizabeth Michael ‘Lulu’ni moja kati ya mastaa wanaokwenda na fasheni na huwa hakosei kwenye hili, yaani huwa yupo “on point”.
Lakini linapokuja swala la maadili na utamaduni wetu hapa watu ndio huwa hutofautiana juu ya mavazi wanaoyovaa dada zetu siku hizi.
 Unaweza Soma : Picha za kilichojiri katika utengenezaji wa video mpya ya Linex na Diamond hizi hapa

Picha za  mwanadada Lulu akiwa amevalia kivazi ambacho kwa kiasi kikubwa kimemuacha miguu yake wazi zilisambaa kwa kasi sana mtandao hapo jana, hii ni kutokana na watu wengi kuzi LIKE na ku-SHARE.
Kama kawaida yetu wa bantu, japokuwa  wengi walitupia COMMENTS za kumsifia wengine pia waliponda uvaaji wa kanguo hako, na wengine kuanza kumtio kasoro, mbali na yeye mwenye Lulu kuandika mamaneno haya kwenye moja kati ya picha hizo.
Unaweza Soma : Mwanamuziki Diamond na Mrembo Zari Ndoa Yanukia , Diamond Amuonyesha Zari Mali zake Zote

 
“Sema nini.....tumiguu twangu tumenyooka hatuna kona...chaiiiii.. Na tumatege flani amaizing …Usinipanikie Mimi Lakini”by Lulu.
Kwa mtazamo wangu kwanza kabisa ni ukweli Lulu DIVA waukweli hapa mjini, sasa hilo swala la mavazi gani ndio ya maadili nawaachia nyie, mnalionaje hapa
Jionee picha hizo akiwa na kavazi hako hapo juu
 Unaweza Soma : Penzi la Diamond kwa Zari Linawaumiza Wengi..Ona Huyu Mganda Anavyohaha Kuwachafua

Credit : Bongomovies.com