Home
»
burudani
» TEAM ZARI WALIPA MAPIGO HAYA SASA PICHA ZA WEMA SEPETU ZA KURUDIA NGUO ZAVUJA
duuh
mji umelipuka sasa haya habari ya mujini siku hizi ni team wema vs team
zari hivi all about east african countries yaani sasa hivi ni shida
hizo team mbili zimekuwa zikijibishana
kama
karaga au njugumawe, huku team zari ina sema hivi nao team wema
wanasema hivi, sasa, hivi habari ya mujin ni za tuhuma za mara wema
sepetu anarudia nguo huku na ye zari akirudia nguo but at the end of the
day kitaeleweka