Mwanzoni mwa mwaka 2015 Linex aliweka wazi kuwa anampango wakufanya video ya wimbo wake aliofanya na Diamond Platnumz ‘Salima’ na kwamba alisubiri kupata stori na muda mzuri wa kufanya kazi hio.
Hizi picha za wakati video inafanyika.

Unaweza Soma : Mwanamuziki Diamond na Mrembo Zari Ndoa Yanukia , Diamond Amuonyesha Zari Mali zake Zote
 
Unaweza Soma: DIAMOND AMTUSI VIBAYA MPENZI WA ZAMANI WA ZARI, KING LAWRENC
 
Top