BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???


Katika kile kinachoashiriankuwa ni kunogewa na joto la mahaba, mwanamziki wa Bongo Fleva Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ nadaiwa kuanza kumcheka  swahiba wake Diamond Platnumz kwa kushindwa "kumpetipeti" na kumtumia ipasavyo aliekuwa mpezi wake Wema Sepetu.
Taarifa kutoka kwa mtu wa karibu  na Ommy zinasema kuwa  mwanamuziki huyu amekuwa akitoa maneno matamu matamu akimsifia Wema na wakati mwingine akimnanga Diamond.
“Inawezekana kwamba wapo katika project lakini ukweli ni kwamba Wema amtawala Dimpoz akilini,mazungumzo yake yote ni kuhusu Wema na anadai kuwa Diamond amepeotea maboya kuachana Wema kwani nyota ya Wema haizuiliki hata kwa radi”, alisema  rafiki huyo. Hii ni kwa mijibu wa gazeti la KIU.
Lakini kwa ujumla mahusiano baina ya wawili hawa bado yanawaweka watui njia panda kwani sio Ommy wala Wema aliejitokeza hadharani na kuthibitisha mahusiano yao, lakini mbwembewe za wapambe wao kwenye mitandao ya kijamii zionyesha kuwa wawili hao wapo kwenye mahusiano ya kimapenzi huku wengine wakiamini kuwa Ommy anataka kung’aa kupitia nyota ya Wema na hakuna swala la mahusiano ya kimapenzi.