BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???



Picha hii imepostiwa kupitia Acc ya msanii wa Nay Wamitego akiwa yupo kitandani na mwanadada ambae amevalia bikini huku sehemu kubwa ya mwili wake ukiwa wazi / unaonekana. Hali ya mwanadada huyo ameonekana akitabasamu bila kuwa na wasi wasi kitendo ambacho kinafanya tuamini kwamba labda wana shoot video, lakini sidhani kama ni sawa pia kwa maadili yetu ya Kitanzania.
 Unaweza Soma : Umeona hii nguo aliyovaa Huddah kutoka Kenya?? Ni Majanga jionee hapa ilivyoacha.... wazi

 Pengine si vibaya lakini mazoea hayo kwetu Watanzania ni mageni.
Picha hii imeonekana kuchukiza mabinti wengi na kuenea kwa story tofauti kwa muda mfupi tangu aipost.
Alichoandika Nay Wamitego ni "Ooooh shiiiit!!!
Unaweza Soma : Mwigizaji Van Vicker Kutoka Ghana Amzimikia Lulu Michael, Ampost Kwenye Page yake na Kusema Haya