
Akiwa na swahiba wake wa siku nyingi, Mr. Mjuni Sylvatory a.k.a Mpoki, Joti alionekana mwenye furaha muda wote kwa kutimiza tendo hilo huku akiwa amealika watu wachache sana kuhudhuria tukio hilo. ni taarifa za juuju. Kama ni kweli, tunampongeza sana na kumtakia kila la kheri yeye pamoja na mwenza wake