
Rais huyo aliwaahidi gari mpya aina ya Jeep Cherokee ambayo inauzwa $76,000 za kimarekani ambazo kwa pesa za kibongo ni kama milioni 139 huku pia akiwazawadia kiasi cha fedha $25,000 sana na milioni 45892500 za kibongo.
Raisi wa nchi hiyo amewaomba wawakilishi wa baadhi ya wachezaji wa timu hiyo ambao wanachezea timu za ulaya wakachukue magari hayo kwa niaba ya wachezaji hao.
Unaweza Soma : Tuhuma za Usagaji zazidi kumwandama Jack Wolper, adaiwa kuiba mchumba wa mtu.