Huu ndo Mwonekano Mpyaaaa wa Snura Baada ya kujifungua.
Siku si nyingi sana mwanamama Snura wa Majanga amejifungua mtoto wake wa pili. Kumekua na maneno kua Snura hataki watu wamuone mtoto wake na hata hakupenda watu wajue kua kajifungua. Mpya kutoka kwa Snura jinsi mwili wake ulivyoongezeka uzito.
Unaweza Soma : Ommy Dimpoz amwonea huruma Diamond kwa kuachana na Wema, Soma hapa.
Snura mwenyewe kupitia akaunti yake ya instagram ameweka picha hii na kuambatanisha na ujumbe huu "Kupungua kunanihusu.....si kwa ubonge huu"
Unaweza Soma :
HIVI NDIVYO DIAMOND NA ZARI WALIVYO KULA BATA SIKU YA VALENTINE HUKO ZANZIBAR