![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg01DEfdBXTPOcl3mYxNe-zictJwlb8oUWdGjkAEz8l-pc0hDGKlszlz4ISavDbIgYI0aOPFMk3uV9vA6XKROGCQQvqrMDddYj3UOzQJEEHmEzdskGlkDQnUytYoFHwJlGgtsgLxt4ahUya/s640/GardnernaJide_full1.jpg)
Hivi ndivyo alivyoandika kwenye ukurasa wake wa Instagram:
Valentine hii naishi kwa hisani ya Mungu Muumba, napendeza kwa hisani ya @robbyonefashion, nakula kwa hisani ya kazi @efm_93.7 Efm, natamba kwa hisani ya @majizzo, nna amani kwa hisani ya washkaji wangu @abdallah_gunda na @edbyamps na lavi davi kwa hisani ya #VJM.
Ndugu zangu na jamaa zangu nawauliza nimjibu au nisimjibu huyo anayedhani yeye malaika anayekosewa yeye tu??