http://photos-a.ak.instagram.com/hphotos-ak-xfa1/t51.2885-15/10958102_336497629887424_191661160_n.jpg 
 Baba mzazi wa Dully Sykes, Mzee Ebby Sykes amefariki dunian akiwa na umri wa miaka 62. Angetimiza miaka 63 February 24.

Mtoto wake wa kike aitwaye Raya Sykes amethibitisha taarifa hizo kwenye mtandao wa Instagram.

Mungu akulaze mahali pema peponi baba angu mm nilikupenda lakin mungu alikupenda zaid nasikitika nipo mbali sitaweza kukuzika!ulikua ni mtu mwenye upendo na kila mtu alikupenda nakupenda sana baba angu R I P dady nitakukumbuka milele daima,” ameandika Raya.
 
Top