HABARI ZA UHAKIKA JUU YA SAKATA LA JUMAANNE TEVEZ. Nikweli kwamba huyu
bwana yuko South Africa Pretoria. Bwana Tevez alodhaminiwa mzigo na
vijana wenzake huko Bondeni kwamba akauze kisha alete Mpunga. Mdhamini
alikuwa ni Kijana wa Kibongo anayeonekana pichani anayeitwa Jeff Katili
mtoto wa Ilala ambaye maskani yake ni South. TEVEZ baada ya kuchukua
mzigo uliokuwa na thamani ya takriban milioni mia moja na hamsini
(150,000,000/=) aliingia mitini hakurudi tena. Kilichotokea Jeff baada
ya kubanwa na wana akawaambia kuwa tulieni nitamleta tu.
Basi Jeff akamrubuni Tevez kuwa njoo Kuna kazi.. Tevez akaingia mzima
mzima akaenda hadi Pretoria wiki iliyopita na kufikia kwa Jeff Katili na
kupata mapokezi mazuri kama kawaida. Baada ya kufika walitoka kwenda
matembezi KWAZULU NATAL... wakiwa huko walifikia kwa washkaji zao wa
kibongo lakini kwenye nyumba ambayo ilikuwa kama holi haina chochote
ndani. Chini lilitandikwa karatasi la nailoni ili kuepusha damu
isitapakae. Alibanwa juu ya mzigo na mtesaji mkubwa alikuwa Jeff Katili
mwenyewe ambaye ni mdhamini. Tevez hajang'olewa jicho bali alipigwa
Ngumi hadi jicho likaenda ndani... NGUMI YA MTOTO WA KIUME.
Ameteswa sana na amekatwakatwa na viwembe mwili mzima. Zakari yake
haijakatwa kama picha zilivyoonyesha bali imekatwa na viwembe. Taarifa
zilitumwa kwa kaka yake na akina Jeff na kuwataka watume pesa la sivyo
wanamuua. familia kupitia kaka yake imeshatuma pesa nusu na sas
anatibiwa hukohuko South na atarejea punde. Uzushi kuwa amekufa hauna
ukweli na hizi ni habari kamili kutoka kwa watu wa karibu na familia
hiyo.