Mshindi wa pili wa shindano la
“Tutoke na Serengeti” Bw.Deogratias Peter Mbogole (kushoto) akiwa
na rafiki yake Goodluck Shirima(kulia) ndani ya hifadhi ya taifa ya
Serengeti kukamilisha mtoko wao wa siku mbili ndani ya hifadhi hiyo...Hapa ni
Tarangire river view waliposimama kujionea kundi kubwa la tembo wakivuka
barabara. Deo aliibuka mshindi mara baada ya kushiriki kwenye shindano
linaloendelea la “Tutoke na Serengeti” linaloendeshwa na SBL kwa ushirikino na
BPESA
Mshindi wa mtoko wa mbugani Bw.
Deogratias Peter Mbogole akiangalia kundi la simba ndani ya hifadhi hiyo
waliposimama “Small Serengeti plains” ambapo
wanyama hao wanaonekana kwa wingi. Safari hii inadhaminiwa na Kampuni ya bia ya
Serengeti. Deo aliibuka mshindi mara baada ya kushiriki kwenye shindano
linaloendelea la “Tutoke na Serengeti” linaloendeshwa na SBL kwa ushirikino na
BPESA
Mshindi wa mtoko wa mbugani Bw.
Deogratias Peter Mbogole (kushoto) akiwa na rafiki yake Goodluck Shirima(kulia)
wakitumia darubini kuangalia makundi makubwa ya viboko ndani ya “Hippo pool
view”-Manyara ambapo wanyama hao wanaonekana vizuri na kwa wingi. Deo aliibuka
mshindi mara baada ya kushiriki kwenye shindano linaloendelea la “Tutoke na
Serengeti” linaloendeshwa na SBL kwa ushirikino na BPESA.
Mshindi wa mtoko wa mbugani Bw.
Deogratias Peter Mbogole(kushoto) akiwa na rafiki yake Goodluck Shirima(kulia) walipoanza
safari yao ya utalii wa siku 2 ndani ya hifadhi ya taifa ya Serengeti. Deo
aliibuka mshindi mara baada ya kushiriki kwenye shindano linaloendelea la “Tutoke
na Serengeti” linaloendeshwa na SBL kwa ushirikino na BPESA.
Mshindi wa mtoko wa mbugani Bw.
Deogratias Peter Mbogole(kulia) na rafiki yake Goodluck Shirima (kushoto) wakiangalia
tembo wanaovuka barabara kwa ukaribu zaidi ndani ya hifadhi ya taifa ya
Serengeti walipoanza mtoko wao wa siku mbili ndani ya mbuga hiyo. Deo aliibuka
mshindi mara baada ya kushiriki kwenye shindano linaloendelea la “Tutoke na
Serengeti” linaloendeshwa na SBL kwa ushirikino na BPESA.